Shilole Afunguka...'Kuiba Waume za Watu Sijazoea Je Kwa Huyu Kuna Mtu Kaibiwa? '


Baada ya kile kinachoonekana Shilole amepata pumziko jipya baada ya kutemana na Nuhu Mzwanda, leo ameweka picha akiwa na jamaa huyo na kuuliza swali kwa wadau kama kuna mtu kaibiwa....

Ameandika hivi


Shilolekiuno
Kuiba Waume za watu sijazoea! Je kuna mtu kaibiwa???

4 comments:

  1. Pumba kabisa wewe dada kazi kucheza na vitoto tu unavionea na vile havijui hata kusaka pesa. Ngoja utakutana na majibaba yakuchakaze mwanzo mwisho
    Reply
  2. Hili mama zima ovyooo! kazi kuchukua serengeti boy na kuwabiminda. khaaa
    Reply
  3. anamuiga Zari kuwapanulia watoto si ndo fassion siku hizi.
    Reply
  4. M.ume hachakai bidada usishindane Na Nuhu unajimaliza mwenyewe
    Reply


Comments

Popular posts from this blog

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

Nitajuaje ama Mke au Mume Wangu Anatoka Nje ya Ndoa? Mambo Gani Yanaweza Yakaonyesha?

Hizi Hapa Faida za Kunywa Maziwa Mgando/Mtindi Katika Mwili wa Binadamu