Picha 15 kilivyohappen kwenye show ya usiku wa switch Club Bilcanas
Mtu wangu wa nguvu usiku wa Feb 22 muanzilishi wa bongo fleva Dully sykes na wakali wengine kwenye kiwanda cha bongofleva walifanya show club bilcanas Dar. show ambayo ilipewa jina la usiku wa Switch yaani ni usiku wa kupendeza picha 15 kivyohappen usiku wa feb 22.
Comments
Post a Comment