EXLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake na Davido
Ni Exclusive Interview Alikiba aliyoifanya na MillardAyo baada ya
maswali kuendelea kuwepo kuhusu walipofikia baada ya Davido kuongea
kwenye Interview na Millard Ayo July 2014 na kusema single nyingine na
mkali wa bongofleva itakua ni yeye na Alikiba, sasa kujua alichosema
Alikiba tazama hii Interview hapa
You must be logged in to post a comment
Login
Comments
Post a Comment