Picha,Avril na kovu usoni.


Avril
Baada ya tetesi kuwa amebwagwa na mpenzi wake kwenye siku ya wapendanao mwezi huu, mwimbaji Avril ameonyesha kuendelea na maisha yake kama hakijatokea kitu vile.
Avril aliweka picha akiwa na kovu usoni iliyoshtua mashabiki wake, wengi wakidhani ni kibigo alichopewa na mpenzi wake ambaye wametengana kwa sasa ila baadae iligundulika kuwa ilikuwa ni sehemu ya muonekano wake kwenye filamu mpya anayofanya sasa.
Filamu inaitwa Sumu La Penzi na Avril anaigiza.
Avril 2

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016