VideoMPYA: Mirror na Baraka Da Prince wametuletea leo video yao mpya “Naogopa”
Mtu wangu wa nguvu list ya video kali kwa mwaka 2016 inazidi kuongeze kila kukicha kwa wasanii kutoka katika kiwanda cha Bongo Fleva
kuamua kutengeneza video kali za hit single zao ambazo zimekuwa
zikifanya vizuri katika radio station, time hii ni wakati wa kuenjoy
dakika tatu na sekunde 25 za video ya msanii kutoka kampuni ya Endless Fame Mirror Ft Baraka Da Prince inaitwa “Naogopa”.
You must be logged in to post a comment
Login
Comments
Post a Comment