KIFO: February 25 2016 Tanzania imempoteza mkongwe mwingine wa muziki
Ni Kassim Mapili…
mwimbaji mkongwe lakini hata kijana wa sasa hivi atakua amesikia sana
moja ya nyimbo zake kubwa za wakati wote…. ina maneno….. ‘napenda nipate lau nafasi…. nipate kusema nawe kidogo rohoni naumiaaaaaa‘
Rais wa shirikisho la Wanamuziki Tanzania Addo November amesema ‘Mzee Mapili hivi karibuni alikua anasumbuliwa na matatizo ya moyo akawa anatibiwa na akapona kabisa na kuendelea na majukumu yake ya kawaida lakini jana aliporudi nyumbani hakutoka tena‘
‘Mzee alikua na vijana watatu lakini hakuwa anakaa nao pamoja na hata mke wake walishaachana, jana alipoingia chumbani kwake hakutoka… majirani walikua wanajua ana tabia ya akiingia kulala anaweza kutoka kesho yake mchana ila leo hakutoka, ikabidi waende Polisi wakaja kuvunja mlango na kukuta alishafariki‘ – Addo November.

Comments
Post a Comment