Collabo ya Davido na WizKid inakuja,nani kamuomba mwenzake,jibu liko hapa.
Kwa mujibu wa mahojiano ya jarida la FADER aliyofanyiwa msanii Davido, anasema Star Boy Wizkid amemuomba collabo.
Hii ni miongoni mwa collabo kubwa inayosubiriwa Afrika na Davido amethibitisha kuwa WizKid ameitaka.
Mwandishi aliyemuhoji Davido ‘Rawiya Kameir‘, ameandika kuwa “Wizkid ameongea na meneja wa Davido ‘Kamal Ajiboye‘ kuhusu collabo hio na sio yeye”
Stori inasema “It’s Wizkid himself, asking whether Davido might be down for some sort of collaboration, an official end to the stalemate”.
Comments
Post a Comment