Kim Kardashian Aonesha Picha ya Mwanae Saint West Kwa Mara ya Kwanza, Zipo Hapa

saint_west_photos
Hatimaye Kim Kardashian ameonesha picha ya kwanza ya mwanae wa pili na Kanye West, Saint West.
Kim ameamua kuonesha picha hiyo katika siku ambayo amesherehekea siku ya kuzaliwa ya baba yake, marehemu Robert Kardashian.

“Today is my dad’s birthday. I know there’s nothing more in the world he would have wanted than to meet his grandchildren. So I wanted to share this pic of Saint with you all,” ameandika Kim kwenye website yake.

Wema Sepetu ni miongoni mwa mastaa waliofurahia picha ya mtoto huyo.

“Gnyt now… But Kimberly Kardashian sio kwa mtoto mzuri hivi jamani… Kama Pipi…!!! Mashallah jamani… God…! You are Able…! Saint West mzuri mno jamani… Dis Baby Boy too pretty ooo,” ameandika kwenye Instagram.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 4 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016