Mange Kimambi asema Wema Sepetu hana hata miaka 26,ushauri aliotoa uko hapa.
Blogger na mkosoaji maarufu nje na ndani ya Tanzania Mange Kimambi
ametoa ushauri wa bure kwa mwanadada Wema Sepetu kuhusu maswala ya kuza
na umaarufu. Mange amemshauri Wema asizae kwa kulazimishwa na maneno ya
watu, bali asubiri mpaka akiolewa ndipo afanye uwamuzi.
Kupitia instagram yake Mange, ameandika
Kupitia instagram yake Mange, ameandika
” Baada ya kusoma posti ya Idris all I can say is Pole mdogo wangu.
Kama hukuwa na mimba kama wasio kupenda wanavyodai au kama kweli ulikuwa nayo ni wewe, Idris na Mungu mnaeujua ukweli. Wanawake wengi mno wanapata miscarrage especially mimba ya kwanza, ila kwako wewe lazma waseme ulikuwa unatafuta Kiki. Like I said ukweli mnaujua wenyewe
Wema wewe sio mtu kuchukua ushauri ila this time naomba uchukue ushauri wangu pls. Theres a reason why wanawake huwa wanaambiwa hata na madoctor wasitangaze mimba mpaka ipite 4 months and thats because mimba chini ya miezi minne inaweza kutoka anytime. Hata dadako hapa huwa nakuwa na kiherehere cha kutangaza kwenye blog nna mimba ila huwa najikaza mpaka niingie 2nd trimester.
Next time news kama hizi only share with your mom na dada zako not marafiki . Kumbuka hizi habari zilianza kutanganzwa na marafiki zako , i think baada ya hapo na wewe ndo ukapata mshawasha wa kutangaza. Hao sio rafiki zako Wema hakuna rafiki anaweza kumtangazia rafiki yake anaempenda kimimba cha mienzi miwili ,huo ni wakati wa kuomba kwa Mungu mimba ikue na ikomae na sio muda wa kutangazia wajinga. Mimi personally nilitaka hata kulia ulipotangaza but it was too late.
Another thing Wema, hivi kwanini unakubali kuwa pressured na wajinga wa social media kuzaa when you are not ready??? The pressure is getting to you Wema. Mbali na familia yako ni mimi peke yangu ndo ninae jua umri wako Wema, Wema huna hata 26 years we mtoto.
Toka lini mtu mdogo hivyo akawa classified as tasa??? Why unakubali kupewa pressure uzae ukiwa mdogo hivi? hata kuolewa hujaolewa?? Achana nao mdogo wangu, acha waongeee midomo mali yako. Subiri uolewe ndo uzae ,hujawahi hata kuishi na mwanaume for more than a year why uitwe tasa na wewe uanze kupata mshawasha wa kubeba mimba? Achana na hao wapuuzi. Mwishowe uje kuzaa mtoto while you are not ready au uzae na mtu huna mpango wa kuishi nae kisa tu uwakomeshe hawa wajinga wa kwenye mitandao. Utajikomesha mwenyewe. Please dont succumb to the pressure. You are way too young.
Wanakushindanisha na wanawake ambao unatakiwa uwaamkie tena kwa kupiga goti na wewe unakubali kabisaaa. Kuzaa wanazaa mpaka panya when the time is right utazaa“
Comments
Post a Comment