Wasanii walipoalikwa Ikulu kwa mara ya kwanza na Rais Magufuli..
February 18 2016 inaingia kwenye headline kwa Wasanii wa Tanzania kualikwa na kula chakula cha mchana pamoja na Rais John Pombe Magufuli tangu ateuliwe,Rais Magufuli amekutana na wasanii hawa kama miongoni mwa makundi yaliyoshiriki kwenye kampeni.
Makundi yaliyofanikiwa kushiriki kwenye Hafla hii ni Wasanii wa Bongo Fleva,Bongo Movie,Muziki wa Dansi na muziki wa Taarabu.
Picha kutoka Blog ya Ikulu.
Makundi yaliyofanikiwa kushiriki kwenye Hafla hii ni Wasanii wa Bongo Fleva,Bongo Movie,Muziki wa Dansi na muziki wa Taarabu.
Picha kutoka Blog ya Ikulu.
Comments
Post a Comment