Upotevu wa Bil 1.5, Waziri wa Rais Magufuli kawasimamisha kazi watumishi wanne leo feb 16.



Leo Feb 15 2016 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alifika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar, Lengo likiwa ni kupokea vitanda na magodoro kutoka katika Bohari kuu ya dawa (MSD) kufuatia agizo la Rais Magufuli kutaka Hospitali hiyo kuongezewa vitanda, Lakini shughuli haikuishia hapo tu, akaligusia suala la upotevu wa fedha karibia Bil 1.5 na baada ya hapo akaamua kufanya maamuzi.
Full stori nimekusogezea

Recommended for you

You must be logged in to post a comment Login

Comments

Popular posts from this blog

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

Nitajuaje ama Mke au Mume Wangu Anatoka Nje ya Ndoa? Mambo Gani Yanaweza Yakaonyesha?

Hizi Hapa Faida za Kunywa Maziwa Mgando/Mtindi Katika Mwili wa Binadamu