Huyu Ndo Binti Aliyeongoza Kitaifa Katika Matokeo ya Mtihani wa Kidato Cha Nne.

Huyu ndiye Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza  Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne  toka  shule  ya  Canossa Girls.Anaitwa Butogwa Charles Shija, akiwa mwenye furaha, nyumbani kwa wazazi wake Kipunguni Jijini la Dar es Salaam jana. 
 

Huyu anaitwa Congcong Wang,ameshika Nafasi ya pili Kitaifa.Amemaliza kidato cha nne Feza Girls.Ni  Mtanzania mwenye asili ya China
Mpekuzi blog



Habari Mpya

No results

Kali Zaidi

No results



Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016