Picha ya Wema Sepetu na Mkongo Man Yazua Balaaa Mtandaoni...Tetesi za Idriss Sultan Kutemwa zaibuka...


Mpya mjini hapa leo ni habari ya Mkongo ajulikanae kama Apocalypse na Wema Sepetu, Wawili hawa inasemekana wako pamoja kimapenzi kiasi cha kupiga picha na video na kuziweka mitandaoni huko Instagram na Snapchat...Tetesi hizi zinasema kwa sasa Idriss Sultan hana chake baada ya mimba kutoka, mkongo huyo inasemekana ana mavumba ya kutosha na alishawahi kutoka na mrembo Huddah Monroe wa Kenya.....

Toka habari za mimba kutoka Idriss Sultan ama Wema Sepetu hawajawahi kuweka picha zao kwenye page ya Instagram kama walivyokuwa wanafanya zamani kitu ambacho kinaongeza tetesi za kuachana kwao....Leo Idris amempost demu mwingine ambani ni rafiki yake kwa kile kinachoonyesha kama kupoza machungu ya Wema na Mkongo kupost ma video yao.....

Huyu Ndio Mukongo Anayesemekana kuwa yupo na Wema Sepetu Kwa Sasa, Hapo akiwa katika Hotel ya Hyatt Regency baada ya kuwasili jana...

Ni tetesi tu......

3 comments:

  1. udaku ni ukuma bila jina la wema hamuuzi tulishashtuka!wanaowaamini ni wajinga wekeni picha yao ya pamoja tuthibitishe. mshindwe na mlegee!
    Reply
  2. Beware!!!A bitch is on the loose again
    Reply
  3. Duuuh wema basi nimekuvulia kofia kama itakuja kuwa kweli hizi tetesi basi mama we ni nomaa
    Reply


Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 4 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016