Baada ya Sinto Fahamu Wema Sepetu Mwenyewe Amedhibitisha Kuwa ni Kweli Ujauzito Wake Hana Tena...Aandika Maneno Haya Kwa Uchungu


Wema Sepetu Ameandika maneno haya kwenye page yake:

Wemasepetu - "Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wameonyesha moyo wa kibinadamu. Nawashukuru kwa upendo wenu, MNANIPA NGUVU.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI.

Alhamdulillah kwa siku ya kesho. Ilimradi nina pumzi, SITACHOKA KUJARIBU TENA.

Hata ukikosa, ukakosa, ukokosa eeeeeeh...sema ASANTE, KWELI YEYE NI MUNGU.

Alhamdulillah for EVERYTHING! " Wema Sepet

10 comments:

  1. Alhamdulilah m.mungu akupe nguvu,Na afya Tele mamy your stronger than ever
    Reply
  2. Fake pregnancy tafuta kiki nyingine sasa coz ulikua huna mimba
    Reply
    Replies
    1. Fake mimba, fake life, fake gari. Hukuwa na mimba hata siku moja. Ulitaka kiki mjini. Sasa unatafuta sympathy which you do not deserve. Siku ile umejitapisha kusudi ili watu wahisi una mimba kweli. Kinyaaa..ptuuu
    2. Hahaha eti kaweka kipicha cha twins. Wema utaacha lini drama? Hukuwa na mimba stop believing in your lies. Unachoshaaaaa
  3. Mimi kama mwanamke ninajua ni jinsi gani unavyojisikia pole sana m/mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu inshaalah usichoke kujaribu utapata kilicho ridhki yako
    Reply
  4. Fake mama yako na shangazi yako alojitia maatoys mpaka ukazaliwa wewe Anony 6.14. PM
    Reply
    Replies
    1. Hata kama kajitia matoy lakini watoto anao. Wema je? Once fake always fake..anonymous 7:56. Piga ua. Zari anawanyoosha. Hahahahaha
  5. Sasa yale makampuni yaliyofanya mazungumzo na wewe itakuwaje? Hivi waliamini kweli ulikuwa na mimba? Lakini matambara yako ulijuwa kuwa vaa vizuri. Yalikaa kimimbamimba hasa. Kweli wewe ni msanii.teh teh teh
    Reply
  6. Pole wema.
    Reply
  7. Liwema lijinga sana...muda si mrefu litaanza kuokota makopo
    Reply


Comments

Popular posts from this blog

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

Nitajuaje ama Mke au Mume Wangu Anatoka Nje ya Ndoa? Mambo Gani Yanaweza Yakaonyesha?

Hizi Hapa Faida za Kunywa Maziwa Mgando/Mtindi Katika Mwili wa Binadamu