Hemedy PHD na Rich Mavoko Wamewahi Kugombana Kwaajili Yangu - Gigy Money
- Get link
- X
- Other Apps
Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa
Television, Gigy alisema kuna baadhi ya wasanii alishawahi kuwa nao
kwenye mahusiano akiamini watamtoa kimaisha, lakini ilikuwa kinyume na
kuishia kuchezewa tu.
"Mimi nilishawahi kudate na Hemed PHD nikiamni atanitoa nitatoboa, lakini wapi, Hemedi alishawahi kugombana na Rich Mavoko kwa ajili yangu, tena kipindi hiko niko form two, unajua maisha kila mtu kuna aliyopitia, nilishawahi kuwa na mtu ambaye hata hatuendani lakini nilikuwa nalazimika, mtu ameshanimilikisha gari, nyumba, tukitoka nalazimika kuvaa angalau nifanane nae kiutu uzima", alisema Gigy.
Akiendelea kuelezea harakati za maisha yake anasema pamoja na Rich Mavoko kugombana na Hemedi, lakini pia alishawahi kumuharibia kwenye mahusiano yake ambayo alikuwepo kwa wakati huo, na kumtaka kuacha tabia za kike.
"Richard akaharibu mahusiano yangu, Richard kama Richard aache tabia za kike", alisema Gigy.

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Related Posts
- Get link
- X
- Other Apps
Emoticon