Kisa Nicki Minaj, Shilole Asaka Ticha wa Kizungu Adai Hali ni Mbaya...
- Get link
- X
- Other Apps
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Shilole amendika tangazo akimtaka mtu
ambaye ni mwalimu wa lugha hiyo kuwasiliana, ili aweze kuanza mafunzo
hayo.
Shilole anafahamika kwa kutojua lugha ya kingereza, hivyo kuwa gumzo anapoongea lugha hiyo ambayo mara kwa mara huwa anachapia, lakini cha ajabu yeye mwenyewe huwa anafurahia na hajutii kuzungumza lugha hiyo ambayo haijui, kama alivyowahi kutamka neno la "I love is my country", ambalo lilikuwa maarufu na watu kuvutiwa nalo.
"Anatafutwa mwalimu wa kingereza mzuri, jamani huu sio utani nipo sirias naona hali ishakuwa sio hali soon natakiwa kuonaa na Niki Minaji hivyo lazima nijinoeee, namba ya sm 0653883839", aliandika Shilole kwenye ukurasa wake wa instagram
Shilole anafahamika kwa kutojua lugha ya kingereza, hivyo kuwa gumzo anapoongea lugha hiyo ambayo mara kwa mara huwa anachapia, lakini cha ajabu yeye mwenyewe huwa anafurahia na hajutii kuzungumza lugha hiyo ambayo haijui, kama alivyowahi kutamka neno la "I love is my country", ambalo lilikuwa maarufu na watu kuvutiwa nalo.
Related Posts
- Get link
- X
- Other Apps
Emoticon