Stamina atoa tahadhari “kuna stamina fake instagramu”..
kupitia akaunti yake ya Instagram rapper Stamina ametoa tahadhari kwa umma na mashabiki zake kuwa makini kwani kuna mtu mwingine anayetumia jina lake kwenye mtandao wa Instagram.
Stamina ameweka picha ya akaunti hiyo fake na kuandika maneno yafuatayo..
“Siijui hii account,,nina account moja tu hii nayotumia sina zaidi ya hii,naona inafollow watu na kupost picha zangu,,SIIJUI SIIJUI SIIJUI“