Nuh Mziwanda – Shilole Kanifanya Nishindwe Kununua Hata Feni Amwomba Radhi Mama yake...Kwa lipi?
- Get link
- X
- Other Apps
Msanii wa bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake
wa zamani Shilole alikuwa hataki yeye amiliki kitu chochote kwa kuhofia
kwamba anaweza kumkimbia iwapo atafanikiwa.
Msanii huyo pia amemwomba radhi mama yake na ndugu zake ambao kila siku walikuwa wanamsihi ajipange lakini yeye alikuwa anawachukulia poa na kusema amejifunza mengi.
Nuh alifunguka hayo wakati akilelezea kitu gani kilimfanya asijipange vizuri kimaisha.Msanii huyo alifunguka na kusema

“Ni kweli nilikuwa naishi kwa mwanamke wangu na alikuwa hataki ninunue hata feni..wazazi wangu walikuwa wakiniimiza kujipanga,leo nimeyaona.Namwomba msahamaha mama yangu,ndugu zangu marafiki zangu walikuwa wakinipa ushauri mimi nikawa naona nimepata kumbe nimepatikana” alifunguka Nuh na kusema kwa sasa maisha yake yamekuwa mazuri hata mashabiki zake wanamkubali zaidi.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Related Posts
- Get link
- X
- Other Apps
Post a Comment
Emoticon