Nipo ‘Single’, Akitokea Kijana Mwenye Malengo Nipo Tayari – Johari
- Get link
- X
- Other Apps
Msanii mkongwe wa filamu, Johari Blandina Chagula amesema kwa sasa
hayupo wenye mauhusiano ya mapenzi na mtu yoyote ila akijitokeza kijana
mwenye sifa yupo tayari.
Johari
Muigizaji huo ambaye ni Mama wa mtoto mmoja, amekiambia kipindi cha Enewz cha East Africa Television Ijumaa hii, kuwa yupo tayari kuingia kwenye mahusiano kama atatokea mtu sahihi.
Johari
Muigizaji huo ambaye ni Mama wa mtoto mmoja, amekiambia kipindi cha Enewz cha East Africa Television Ijumaa hii, kuwa yupo tayari kuingia kwenye mahusiano kama atatokea mtu sahihi.
“Mimi kwa sasa nipo mwenyewe (Single) akitokea kijana mwenye malengo na mwenye dhamira ya kweli nipo tayari kuwa naye,” alisema Johari.
You might also like:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
- Get link
- X
- Other Apps
presha nani anataka?