Idris Amkingia Kifua Wema Sepetu, ni Baada ya Kuambiwa Anamharibu..Otoa Onyo Kali



Ukitaka kukosana na Idris Sultan, mtukane kipenzi chake, Wema Sepetu.

Mshindi huyo wa shindano la Big Brother Africa mwaka 2014 aligeuka mbogo baada ya shabiki mmoja kudai kuwa Wema anampoteza.

Soma mwenyewe:

9 comments:

  1. ni muhimu kumlinda wa kwake
    Reply
  2. Wewe Idris nadhani huna akili au utoto unakusumbua kwasababu huyo Wema kawahinda wengi na wewe pia utakuwa mpita njia nakupa just 2 months more/
    Reply

    Replies


    1. mimi sio shabiki ila nakushangaa wewe unayesema mwenzio ameshindwa wakati wewe hujielewi, nani aliyekamilika bwana. ebu acha kumjudge mwenzio na kujifanya Mungu. anayepaswa kutuhukumu ni Mungu peke yake.. kupenda hakuna akili ya utoto. wamekubaliana na mapungufu yao. kwani aliyekwambia Idriss yupo perfect nani?
  3. DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE.
    Reply
  4. Hahahahahahahahhaha......kweli hii balaaaaa.eeee mungu niepushie nisijepata mdogo kama huyu Idris maana ntamzaba makofi tu. Mali mungu amekupa ila kakukomesha kukunyima akili za kujitambua. Naomba mungu niwe hai nione utafika wapi na huyo bibi bomba aloshindikana na watu wazima na hela zao. Kuna vitu vingine hua mnajitakia sana na mwsho wa siku ndugu zako watasema wema kakuroga kumbe ni mgeni kweni kwenye sector bb wa watu anakurubuni tu.....Pole sana mdogo wangu. Uliza Nuhu mziwanda yuko wapi sasa hivi.......hayo na mafupa waloyashindwa mafisi mjini hapa.......
    Reply
  5. Muacheni Ata km Ana udogo WA kunyonya ziwa muacheni atakua kila mtu Na life yake km yupo over 18 udogo ameuacha muda mrefu
    Reply
  6. jameni mimi siko dar lakini najua mengi kuliko hata nyinyi mliokuwa mjini,wema ameachana na idris yuko na pedeshee mmoja hivi anaitwa isabela maana jina lake gumu ngoja nimuite isabela,na juzi kapiga picha na kofia ya isabelle
    Reply
  7. Huyo mtoto msenge sana anajionaaa ana brain kisa kuuza sura pale Big Brother. Mtu mwenyewe sioi kwamba ana Talent yoyote zaidi ya hiyo bahati aliyoipata.
    Reply
  8. watanzania mbona mna uchngu na maisha ya wengine kwani hao wahusika hawana ndugu zao mpaka wawasikilize nyinyi mnaoandika hawawajui wala kuwaona na wala hamuwasaidii kama huyu ngozinathaniel kwani yeye ni nani??
    Reply


Comments

Popular posts from this blog

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

Nitajuaje ama Mke au Mume Wangu Anatoka Nje ya Ndoa? Mambo Gani Yanaweza Yakaonyesha?

Hizi Hapa Faida za Kunywa Maziwa Mgando/Mtindi Katika Mwili wa Binadamu