‘Jogoo wa Ommy Dimpoz’ Anawika,Ex Wake Athibitisha...Asema Nay wa Mitego Anatafuta Kiki.
- Get link
- X
- Other Apps
Baada ya diss ya Nay wa Mitego kuwa “jogoo wa Ommy Dimpoz hawiki” yaani
jamaa “hapigi mechi”,mpenzi wa zamani wa Ommy Dimpoz amejitokeza
hadharani na kukanusha tuhuma hizo ambazo Nay wa Mitego alimminia Ommy
Dimpoz kupitia wimbo wake wa Shika adabu yako.
Mwanadada huyo ambaye picha yake akiwa na Ommy Dimpoz ilizagaa huku wakiwa wamevalia sare za shule ameweka wazi kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ommy dimpoz na kuthibitisha kuwa Dimpoz alikuwa “akipiga mechi” kama kawa.
“Ni mzima kabisa,i don’t know huyu Nay anatafuta tu kiki..” alifunguka mrembo huyo ambaye kwa sasa anasema yuko kwenye mahusiano mengine.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
- Get link
- X
- Other Apps

Nay sio vizuri kumdhalilisha mwanaume mwenzio, hayo maneno yangesemwa na mwanamke tungemuelewa labda kaingia nae chumbani akashindwa, wewe je veepe!!